速報APP / 社交 / Pamoja App

Pamoja App

價格:免費

更新日期:2017-10-18

檔案大小:9.8M

目前版本:1.0

版本需求:Android 4.0.3 以上版本

官方網站:http://www.moyopamoja.com

Email:purplecowmedia16@gmail.com

聯絡地址:隱私權政策

Pamoja App(圖1)-速報App

Pamoja App ni App pekee ya mawasiliano ambayo itakusaidia kutafuta marafiki ambao wapo karibu na wewe! Itakusaidia kutafuta marafiki, kuchat, kuonana au kupanga sehemeu ya kukutana na rafiki zako kupitia kipengele cha pamoja plan. Bonyeza INSTALL Sasa!

Pamoja App(圖2)-速報App

1. Tafuta na ungana na marafiki walio karibu na wewe hadi umbali wa Kilometa 1000

Pamoja App(圖3)-速報App

2. Chagua lugha ambayo unataka kutumia

Pamoja App(圖4)-速報App

3. Tizama wasifu, picha na maelezo ya marafiki zako.

Pamoja App(圖5)-速報App

4. Tuma na kupokea ujumbe kutoka kwa rafiki

Pamoja App(圖6)-速報App

5. Mtumie rafiki yako video, picha au sauti

Pamoja App(圖7)-速報App

6. Chagua jinsia ya marafiki unaopenda kuwaona

7. Boresha wasifu wako ili kupendezesha zaidi profile yako.